MAWAZIRI 10 WA JPM WANG'ARA
Kutokana na sakata la watumishi hewa, serkali ilichukua hatua za kinidhamu dhidi ya watumishi 1663 kutoka katika taasisi zake ambao walihusika kuwapo kwa watumishi hao huku wengine 638 wakifunguliwa mashtaka.
Mawaziri 10 wakiwemo manaibu walioteuliwa na raisi John Magufuli December 2015,ndio wanaoonekana kuwa wanachapa kazi kama mchwa.
No comments:
Post a Comment