Wafanyakazi wa Tanesco wamempongeza raisi magufuli kwa uamuzi wake wa kutekeleza mradi wa umeme wa maji rufiji.
Akizungumza leo alhamisi,mwenyekiti wa Tuico Tanesco, Athuman Hassan amesema mradi huo wa megawati 2000 utakua na manufaa kwa uchumi wa viwanda na kukamilika kwa mradi huo wa Stieglers Gorge utamaliza tatizo la umeme na mwengine kuuzwa nje ya nchi.
"Tunaomba ushirikiano na wananchi kuwashika vishoka wanaowatapeli wateja wetu "amesema.
No comments:
Post a Comment