mshahara wa Dola laki nne (400,000 kwa mwaka) ambazo ni mshahara wa Rais wa Marekani
anapokuwa Ikulu ya White House.
Kauli hii aliitoa Donald Trump mshindi wa kiti cha Urais nchini Marekani wakati akiwa
kwenye kampeni zake September 17, 2015, huko Rochester, New Hampshire: “Kitu cha kwanza
ninachotaka kuwaambia na nitakifanya kama nikichaguliwa kuwa Rais, Sitakuwa nikichukua
mshahara, hata dola moja siihitaji, hicho sio kitu kikubwa kwangu.” – Donald Trump
Kwa mujibu ripoti mpya zilizotolewa na jarida la watu maarufu duniani Forbes, limetaja
utajiri wa Rais huyo mteule kuwa unafikia Dola Bilioni 3.7 za Marekani ambazo ni zaidi
ya shilingi Trilioni 8 za Tanzania
No comments:
Post a Comment