ROSE AMEJIZOLEA UMAARUFU KUTOKANA NA STAILI YAKE YA KUIMBA KWA HISIA .
HATA HIVO ROSE AMEKAA KIMYA HUKU AKIACHA MASWALI KWA MASHABIKI WAKE.
YUKO WAPI?
ROSE AMESEMA KWA SASA AMEJIHAMISHIA MAKAZI YAKE DODOMA ANAKOFANYA SHUGHULI ZAKE ZINAZOMUINGIZIA KIPATO .
KAACHA MZIKI?
KWA UPANDE WA MZIKI HAJAACHA KWANI MZIKI UPO NDANI YA DAMU YAKE .SIKU SI NYINGI ATAACHIA VITU VIPYA MUKAE TAYARI.
UJUMBE KWA MASHABIKI
MASHABIKI ZAKE WAWE NA SUBIRA KWANI KATIKA MAISHA KUNA MUINGILIANO WA MAMBO MENGI.
Toa maoni yako.
No comments:
Post a Comment