Uko kwenye dunia ambayo kila kukicha
kuna tafiti mpya au tunakumbushwa yale ambayo tunatakiwa kuyazingatia
kila siku kwenye maisha na ninafahamu Watanzania wengi huchelewa kufika nyumbani na hata kula chakula cha jioni.
Unaambiwa kuanzia saa kumi na moja jioni na kuendelea hautakiwi kula chakula kizito bali vile vyepesi tu mfano Juice maji na matunda sababu ukila chakula kizito na kulala muda mfupi baadae kitazuia ufanisi wa msukumo wa damu mwilini na mwisho wa siku ndio tunapata magonjwa ya shinikizo la damu
No comments:
Post a Comment