Dr. Isaac Maro amefafanua kuhusu utafiti uliotolewa hivi karibuni
ukidai kuwa mito tunayolalia inahusika kueneza magonjwa mbalimbali.
>>>’Sidhani
kama inahitaji utafiti kugundua ili, nikikuliza mara ya mwisho
kubadilisha mto wako wengi hamkumbuki, mto huwa unachukua vitu vingi
kutoka mwilini mwako kama hujawahi kubadilisha mto maana yake vimelea
vilivyosababisha upate mafua mwezi uliopita viko kwenye huo mto kwa hiyo
kuna uwezekano mkubwa wa yale maradhi uliyougua mwezi uliopita
yakakurudia’
>>>’aidha kama watu wengi wanatumia mto huo wanaweza kuacha vimelea vya maradhi na vinaweza vikakuleta maradhi’
No comments:
Post a Comment