Monday, November 14, 2016

Wachezaji watano wanaowania tuzo ya BBC 2016




Shirika la utangazaji Uingereza BBC November 12 2016 limetangaza majina ya wachezaji watano wa Afrika wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2016 wa BBC, majina hayo matano yametajwa live katika kipindi cha TV.

Tuzo hiyo ya BBC 2016 mshindi atatangazwa December 12 2016 live kupitia  BBC Focus On Africa TV na radio,list ya majina matano yaliochaguliwa.
  • Sadio Mane (Liverpool/Senegal)
  • Yaya Toure (Man City/Ivory Coast)
  • Riyad Mahrez (Leicester City/Algeria)
  • Andrew Ayew (West Ham United/Ghana)
  • Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund/Gabon


 Unaweza kupiga kura kwa kuingia link hii  http://www.bbc.com/sport/live/football










No comments:

Post a Comment