Leo
November 14, 2016 wananchi kutoka maeneo mengi duniani wameshuhudia
tukio la mwezi kushuka chini zaidi ambapo umeonekana kuwa mkubwa kuliko
ambavyo huonekana, tukio hili linatokea ikiwa ni tangu ilipotokea mwaka
1948.
Nchi ya
Uingereza imekuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuuona mwezi huo jioni
ya leo Jumatatu, licha ya kuwa umeikaribia dunia zaidi kwa mwendo wa
masaa matano na dakika 21 ambapo mwezi huo unakuwa umbali wa kilomita
356,509 kutoka usawa wa Ardhi duniani.
Kwa mujibu
wa idara ya hali ya hewa nchi Uingereza Tukio la mwezi kuikaribia
dunia litatokea tena tarehe 25 mwezi November 2034.
No comments:
Post a Comment