Rais mteule wa Marekani Donald Trump ni miongoni mwa watu matajiri
nchini Marekani. Bilionea huyu ni mfanyabaishara anayemiliki mashamba
na hoteli mbalimbali nchini humo. Katika wakati wote wa kampeni, Donald
Trump alikuwa akitumia ndege yake binafsi katika safari zake.
Kitanda chakupumzikia wakati yupo angani
No comments:
Post a Comment