Thursday, November 17, 2016

Majaliwa amuumbua Makonda hadharani

 

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa alimtaka Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Paul Makonda kuacha kulalamika na badala yake ahakikishe anasimamia maagizo yanayotolewa na viongozi wa ngazi za juu wa serikali. 

Toa maoni yako.

No comments:

Post a Comment