Thursday, November 17, 2016

Orodha ya wadaiwa sugu HESLB yaibua mapya



Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul Razaq Badru 


                                      Mkurugenzi mtendaji wa HESLB,Abdul Razaq Badru



Dar es salaam,Orodha ya wadaiwa sugu wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) ,imedaiwa kuwataja wanufaika ambao baadhi walishamaliza kulipa madeni yao.


Mpema wiki hii Mkurugenzi mtendaji wa bodi hiyo,Abdul Razaq Badru,alitaja kiasi cha fedha wanazodaiwa wanufaika hao 142,470 kuwa ni Sh2.39 bilioni. Hata hivo baadhi ya majina yaliyotolewa katika tovuti ya HESLB ikidai kuwa ni wadaiwa sugu,wametajwa kimakosa.



Pia ,yapo majina ya watu ambao hawajawahi kuomba mkopo na wengine waliosoma nje ya nchi.


Toa comment zako.
























No comments:

Post a Comment