Kuna matukio kadhaa yaliyotokea kwenye uwanja huo wa
jijini hapa kiasi kwamba hata ulipotelekezwa na mamlaka uliwafanya
mashabiki wa soka kusononeka kwa kuona inakuwaje?
Kwasasa uwanja huo umekarabatiwa na Novemba 30 utakabidhiwa rasmi ili kuanza kutumika tena .
Toa maoni yako.
No comments:
Post a Comment