Thursday, November 17, 2016

Wanafunzi chuo cha Kodi walilia mikopo

 

 Zaidi ya wanafunzi 300 wa mwaka wa kwanza katika chuo cha kodi jijini Dar es salaam ,jana walisababisha kitimtim cha aina yake baada ya kufika katika ofisi za gazeti la Nipashe wakilalamikia kukosa mikopo ya masomo yao. 

Toa maoni yako

No comments:

Post a Comment