Katika list ya tuzo kubwa zinazotolewa kwa wanamuziki duniani huwezi kuacha kutaja American Music Awards ambazo hutolewa kila mwaka kwa mastaa wakubwa wa muziki Marekani, tukio hilo ambalo lipo kwenye maandalizi sasa hivi na tuzo hizo kutolewa usiku wa Nov 20 2016 ambazo zitaonyeshwa live kwenye kituo cha ABC.
Na tayari list imetoka ya wasanii wa marekani watakaotoa burudani kwenye jukwaa la usiku wa tuzo hizo za AMAs 2016 ambapo watakuwepo wasanii hawa.
Drake ndio msanii mpaka sasahivi anayeongoza kwa kuchaguliwa kwenye vipengele 13 vya kuwania tuzo hizo akifuatiwa na Rihanna aliyeko kwenye vipengele 7, tuzo zitarushwa live ABC , Nov 20 2016 saa mbili usiku.
No comments:
Post a Comment