Tuesday, November 15, 2016

Mbunge John Heche anusurika kwenye ajali

 





Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amepata ajali maeneo ya Mikese Morogoro akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam.


’Tumetoka salama tumepata ajali ya kugongana na gari ndogo ambayo ilikuwa inatoka uelekeo wa Dar es salaam kwenda Morogogo tulipokaribiana kama mita 50 wakageuka katikati ya barabara kuu na sisi kwa sababu tulikuwa spidi kama 100 na kitu tukaingia kwenye hiyo gari kwa nyuma, tunashukuru Mungu hakuna aliyeumia ni uharibifu tu wa gari’: Mbunge John

No comments:

Post a Comment