Thursday, November 17, 2016

Scorpion aacha mshangao kortini



 

Mtuhumiwa wa unyang'anyi wa kutumia silaha,Salum Njwete(34),maarufu kwa jina la 'Scorpion',jana alishangaza mahakama ya wilaya ya ilala,baada ya kutaka aiendeshe kesi yake kwa kasi anayotaka yeye.

Toa maoni yako.

No comments:

Post a Comment