Mastaa wa
muziki ni watu ambao wanapenda kwenda na fashion kuanzia mavazi mpaka
style za unyoaji. Kwa upande wa mastaa wa Nigeria tumezoea kuona wasanii
kama Davido, Falz, Reekado Banks, Korede Bello, Ycee, Iyanya, Phyno, Tekno, Wizkid, Banky W na Mr. Flavour wakibadili muonekano wao wa nywele mara kwa mara.
Leo Nov 15 2016 nimezinasa picha 18 za baadhi ya mastaa hawa wa Nigeria na style zao za nywele, unaweza kuzitazama hapa chini
Falz
Iyanya
Korede Bello
Reekado Banks
Phyno
Ycee
Ycee
Davido
Patoranking
Tekno
Tekno
Mr. Flavour
Wizkid
Wizkid
Banky W
Kiss Daniel
Kiss Daniel
Paul Okoye – Psquare
No comments:
Post a Comment