Tuesday, November 15, 2016

Ubunifu waliofanya China kwenye kufagia barabara zao

 



Wafanyakazi wa usafi wa mazingira kutoka China wamebuni njia ambayo imeongeza ufanisi wa kazi zao za ufagiaji wa barabara. Ubunifu huo hauhitaji teknolojia kubwa sana ambapo  wamefunga mifagio 16 ya kawaida kwenye chombo ambacho kinazunguka kusaidia kufagia barabara, inaelezwa aina hii ya ufagiaji ni ya ufanisi mara 20 zaidi ya kawaida. Nimekuwekea hizi picha apo chini.


 3a5bbf4200000578-3933928-an_octopus_looking_sweeper_car_running_on_the_motorway_in_xiaoga-a-3_1479127882579 3a5bbf7600000578-3933928-the_road_cleaning_machine_is_highly_efficient_to_sweep_the_debri-a-2_1479127882446
3a5bbf8200000578-3933928-it_cleans_road_of_20_kilometres_12_4_miles_every_day-a-5_1479127882665 


ukishatazama usiache  kuniachia comment yako.


No comments:

Post a Comment