Monday, November 14, 2016

Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa



Hii ni kwa Vyuo vyote vya serikali na binafsi.

Elimu ya diploma ilikuwa chini ya NACTE sasa inarudi NECTA na kufuata mfumo wa zamani.

Higher Diploma imefutwa.

No comments:

Post a Comment