Thursday, November 17, 2016

Q Chilla hawezi kusahau haya!

 


 Mwanamuziki huyo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni na miongoni mwa waimbaji wazoefu nchini,anasema hawezi kuyasahau mambo yaliyomtokea nyuma ambayo akiyakumbuka hupatwa simanzi.

Ni wachache ambao hukataa ukweli katika mlolongo mzima wa maisha aliyopitia, pengine kwa kutaka kujisahulisha ama kujisikia vibaya.

 MAMBO YAPI?

La kwanza pale akiwa na umri wa miaka 10 alimpoteza mama yake mkubwa akiwa ughaibuni nchini Butswana.

Aliamini kuwa huyo ndo mama yake mzazi kumbe mama yake alifariki zamani yeye akiwa  bado kinda .
Mama huyo alimpenda sana na kumdekeza na kuamini kuwa yeye ndo mama yake mzaz,
ndoto zake zilikatika  kwa kuondokewa kwa kipenzi chake .

Toa maoni yako.




No comments:

Post a Comment