Thursday, November 17, 2016

Tanesco yapingwa kuongeza bei ya umeme

 

 Msimamo huo umetolewa kwenye mikoa ya Arusha,Mwanza,Dodoma na Mbeya ambako vikao vya kukusanya maoni ya wadau vimefanyika chini ya mamlaka ya udhibiti wa huduma za Maji Nishati(Ewura).

No comments:

Post a Comment