Mwanamke aliyekaa siku nzima kwenye Jeneza ili kupata uzoefu wa kifo.
Imetokea Brazil na Mwanamke mwenyewe anaitwa Vera Lucia da Silva na umri wake ni miaka 44 ambapo aliamua kukaa kwenye jeneza siku nzima ili apate uzoefu wa mazingira ya kifo ili siku akifa asiwe mgeni na Jeneza.
No comments:
Post a Comment