Thursday, November 17, 2016

Simba yaanza kulipa deni TRA

 



Habari kutoka ndani ya Simba, zimesema kuwa uongozi wa klabu hiyo unalipa kila mwezi Sh45 milioni ili kupunguza deni hilo ambapo wamekubaliana na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kulipa pesa hiyo kwa awamu kutokana na hali ya uchumi ilivyo ndani ya klabu hiyo ya mtaa wa Msimbazi.

Toa maoni yako.

No comments:

Post a Comment